Foby

15 fans

Frank Ngumbuchi Felix, alizaliwa 2 Desemba 1992 (umri 30), katika Hospitali ya Mbesa Mission kwenye kijiji cha Mbesa, Mkoa wa Ruvuma, Tanzania. Ni mwanamuziki wa Bongo Flava, lakini pia ni mtunzi wa mashairi na muandaaji wa ala za muziki.[1][2]

Foby
[[Image:

FOBY STAR
|220px|Foby akijiandaa kuzindua wimbo wake mpya.]]
Foby akijiandaa kuzindua wimbo wake mpya.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Frank Ngumbuchi Felix
Pia anajulikana kama Foby
Amezaliwa 02.12.1992
Asili yake Tanzania
Aina ya muziki Bongo Fleva
Kazi yake Mwanamuziki, Mtunzi, na Mwandishi
Ala R&B, Soul, Blues
Miaka ya kazi 2006 (14)
Ame/Wameshirikiana na Nandy, Gigy Money, Barnaba
Elimu na maisha ya awali
Foby alisoma shule ya msingi Mbesa kuanzia awali mpaka darasa la saba na baadaye alichaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari katika shule ya Mbesa Sekondari ila baadaye alihamia katika shule ya kijeshi ya Ruhuwiko. Akiwa shuleni kupitia vipaji vyake vingine alijizolea umaarufu na kutwaa tunzo kupitia mchezo wa mpira wa miguuna Sarakasi, alinyakua vikombe kadhaa kwa ngazi ya mkoa, wilaya, kata na shule. [3]

Muziki
Rasmi Foby alianza muziki akita bado shuleni, ambapo alikuwa ana tumbuiza kila jumapili kwenye siku ya sanaa, Foby alikuwa akipendwa zaidi kwa sababu ya vipaji vyake, alikuwa akicheza sarakasi, mpira na muziki. Wakati akiwa shule alipata ajali akiwa mchezoni na alivunjika mguu, hapo ndo ikawa mwisho wa ndoto yake kuwa mchezaji wa mpira wa miguu. Mwaka 2006 ndio mwaka aliingia rasmi kwenye sanaa ya muziki. Alianza kwa kutunga mashairi na kuwapa wasanii wengine, mfano "Madame hero" ya Hamissa Mobetto, "Sitanii" ya Banana zoro, "Mimina

Baadhi ya wasanii na nimbi zao
Jina la limbo msanii
Madame hero Hamissa Mobetto
Sitanii Banana zoro
Nandy
Selena
Mimina Gigy Money

Top tracks

Playlists

Similar artists

  • Discography
EPs
℗ 2021 SMH
19-12-2021
FOBY (M,M & I (Me Myfelf And I, EP)
01
MUDA
Foby
FOBY (M,M & I (Me Myfelf And I, EP)
03:20
Writer: Frank Felix Ngumbuchi / Composers: Frank Felix Ngumbuchi
02
JOTO
Foby
FOBY (M,M & I (Me Myfelf And I, EP)
03:15
Writer: Frank Felix Ngumbuchi / Composers: Frank Felix Ngumbuchi
03
CASALMORO
Foby
FOBY (M,M & I (Me Myfelf And I, EP)
03:20
Writer: Frank Felix Ngumbuchi / Composers: Frank Felix Ngumbuchi
04
PUT IT DOWN
Foby
FOBY (M,M & I (Me Myfelf And I, EP)
03:05
Writer: Frank Felix Ngumbuchi / Composers: Frank Felix Ngumbuchi
05
NITAMSEMEA WAPI?
Foby
FOBY (M,M & I (Me Myfelf And I, EP)
03:28
Writer: Frank Felix Ngumbuchi / Composers: Frank Felix Ngumbuchi
Singles
℗ 2025 FOBY
13-06-2025
Tiktap
01
Tiktap
Foby
Tiktap
05:01
Writer: Frank Ngumbuchi Felix
℗ 2025 SMH
18-01-2025
HISTORIA (CCM)
01
HISTORIA (CCM)
Foby
HISTORIA (CCM)
03:56
Writer: FELIX HAMISI GUMBUCHI / Composers: FELIX HAMISI GUMBUCHI
℗ 2024 LAB YA UKWELI
06-12-2024
Mi Alma
01
Mi Alma
Foby
Mi Alma
03:35
Writer: Frank foby foby / Composers: Frank foby foby
℗ 2024 SMH
13-09-2024
Karibu Ruvuma
01
Karibu Ruvuma
Foby
Karibu Ruvuma
04:16
Writer: Frank Ngumbuchi Felix / Composers: Frank Ngumbuchi Felix
℗ 2024 SMH
02-07-2024
Tuliachanaje (feat. Jay Moe)
01
Tuliachanaje (feat. Jay Moe)
Foby
Tuliachanaje (feat. Jay Moe)
03:10
Writer: Frank Ngumbuchi / Composers: Frank Ngumbuchi
℗ 2024 SMH
16-06-2024
Wape Tabasamu
01
Wape Tabasamu
Foby
Wape Tabasamu
02:00
Writer: Foby Star / Composers: Foby Star
℗ 2024 SMH
01-06-2024
Tanzania Sports Anthem (TSA)
01
Tanzania Sports Anthem (TSA)
Foby
Tanzania Sports Anthem (TSA)
03:33
Writer: Foby Star / Composers: Foby Star
℗ 2023 SMH
02-12-2023
Trampa
01
Trampa
Foby
Trampa
04:00
Writer: Foby Star / Composers: Foby Star
℗ 2023 SMH
26-09-2023
TWIGA STARS ANTHEM
01
TWIGA STARS ANTHEM
Foby
TWIGA STARS ANTHEM
01:41
Writer: Frank Ngumbuchi Felix / Composers: Frank Ngumbuchi Felix
℗ 2023 SMH
09-09-2023
Yanga Fans Anthem
01
Yanga Fans Anthem
Foby
Yanga Fans Anthem
01:47
Writer: Foby Star / Composers: Foby Star
℗ 2023 SMH
19-06-2023
Taifa Stars Anthem
01
Taifa Stars Anthem
Foby
Taifa Stars Anthem
01:20
Writer: Frank Felix / Composers: Frank Felix
℗ 2023 SMH
14-05-2023
Yanga Champions Anthem
01
Yanga Champions Anthem
Foby
Yanga Champions Anthem
03:29
Writer: Flank Ngumbuchi Felix / Composers: Flank Ngumbuchi Felix
℗ 2023 Kipimo Brand
07-05-2023
Twin
01
Twin
Elly Da Bway
Twin
03:12
Writer: Elly Da Bway / Composers: Elly Da Bway
℗ 2023 SMH
24-11-2022
Emoji
01
Emoji
Foby
Emoji
03:49
Writer: Frank Ngumbuchi Felix / Composers: Frank Ngumbuchi Felix